menu
{ "item_title" : "Barakoa!", "item_author" : [" Deana Sobel Lederman "], "item_description" : "Wahusika wachanga wa hadithi hii wameambiwa na familia zao kwamba kutoka sasa watu wote watahitaji kuvaa barakoa za kinga na watahitaji kukaa mbali mmoja kwa mwingine.Wakiwa na barakoa mpya kwenye nyuso zao, hawo vijana wanaamua kwenda kwenye duka la aiskrimu na wazazi wao. Wanaona ni mzaha watu wazima mitaani wakivalia kofia za ajabu kama ukumbusho wa hizo sheria mpya. Kwa hali yoyote, ile utumizi wa barakoa na kutotangamana na watu haziwafadhaishi, na furaha yao inazidi wanapoonana kwenye foleni ya duka la aiskrimu. Wakati kila mmoja wao ameingia dukani kwa zamu yake na amenunua aiskrimu, wote wanarudi nyumbani kufurahia peremende zao.", "item_img_path" : "https://covers4.booksamillion.com/covers/bam/1/63/607/024/1636070248_b.jpg", "price_data" : { "retail_price" : "12.99", "online_price" : "12.99", "our_price" : "12.99", "club_price" : "12.99", "savings_pct" : "0", "savings_amt" : "0.00", "club_savings_pct" : "0", "club_savings_amt" : "0.00", "discount_pct" : "10", "store_price" : "" } }
Barakoa!|Deana Sobel Lederman

Barakoa!

local_shippingShip to Me
In Stock.
FREE Shipping for Club Members help

Overview

Wahusika wachanga wa hadithi hii wameambiwa na familia zao kwamba kutoka sasa watu wote watahitaji kuvaa barakoa za kinga na watahitaji kukaa mbali mmoja kwa mwingine.

Wakiwa na barakoa mpya kwenye nyuso zao, hawo vijana wanaamua kwenda kwenye duka la aiskrimu na wazazi wao. Wanaona ni mzaha watu wazima mitaani wakivalia kofia za ajabu kama ukumbusho wa hizo sheria mpya. Kwa hali yoyote, ile utumizi wa barakoa na kutotangamana na watu haziwafadhaishi, na furaha yao inazidi wanapoonana kwenye foleni ya duka la aiskrimu. Wakati kila mmoja wao ameingia dukani kwa zamu yake na amenunua aiskrimu, wote wanarudi nyumbani kufurahia peremende zao.

Details

  • ISBN-13: 9781636070247
  • ISBN-10: 1636070248
  • Publisher: Tbr Books
  • Publish Date: October 2020
  • Dimensions: 8.5 x 8.5 x 0.08 inches
  • Shipping Weight: 0.19 pounds
  • Page Count: 28
  • Reading Level: Ages 0-11

Related Categories

You May Also Like...

    1

BAM Customer Reviews